• Real Estate Hub in Tanzania.
author Call Us: +255 683 146 363

Compare Listings

Kiriza Customer Care

Ikizu Road, Dar es Salaam

  • Properties listed: 0
  • Agents: 0
  • Tax Number: 126-324-154
  • Language: Swahili na English

CONTACT Kiriza Customer Care

  • OVERVIEW
  • Listings
  • AGENTS
  • MAP

Hello there, I am from Kiriza Support, if you ever have a question, kindly reach out to me and i will respond to you.

Kiriza values trust, honesty and authenticity and plans to make sure that it is observed in this marketplace. We plan to implement trust by being as transparent as possible and we wish you to be the same. Kindly provide at least 85% of the details in your profile (My Profile in the User Dashboard) so that before someone opts to deal with you, they can feel safe to be working with you.

Thank you for opting to work with us and Happy Listing.

Habari nimetoka Huduma ya Wateja ya Kiriza, kama una swali lolote…tafadhali usiogope kuniuliza, nitakujibu.

Kiriza inaamini kwenye uaminifu na ukweli na itahakikisha kuwa hivyo vitu vinaheshimiwa kwa kuwa wazi na nyinyi, na tungependa uwe wazi na sisi pia. Tafadhali andika taarifa zote kwenye profile yako (My Profile kwenye Dashboard yako) ili mtu akiamua kutaka kufanya kazi na wewe, wanaweza kuwa huru na kuamini kuwa anamjua mtu aliyeorodhesha kwenye jukwaa hili.

Asante sana kwa ushirikiano wako na Siku Njema.

Listings