TUKO PAMOJA NAWE

Katika safari yako ya shule mpaka utakapomaliza.

  • TUPE NAFASI, ANZA LEO.

USHAURI  KUTOKA KWETU.

Maneno machache ya busara ya kukusaidia kwenye safari yako ya shule.

Soma

Pitia notes za waalimu na lecturers na fanya utafiti kujiongezea maarifa. 

FANYA KAZI ZA SHULE 

Fanya homework, coursework au mitihani ya kuendelea (Continous Assessments) kwa ufasaha ili usikose maksi muhimu. Jua pia walimu wengi huwa wanatoa maswali ya mwisho wa muhula kwenye kazi za shule.

FURAHIA

Usisahau kufurahia/kuenjoy na marafiki zako, pia tengeneza marafiki wapya ukiwa shule. Urafiki wenu utawasaidia mbeleni. Tuamini!

MAISHA YA BAADAE

Baada ya kugraduate anza maisha mapya ya kujitegemea na kama ungependa ujiajiri, wasiliana nasi.

JUMUIYA YETU

Pata nafasi kuuliza maswali walimu, wanafunzi wenzako walio shule zingine na shirikiana na wenzako katika safari yako ya shule.

huduma zetu

kazi tunazofanya kwa ufasaha.

Faida za kufanya kazi na sisi.

Tunakuheshimu na tunaipa kazi yako kipaumbele cha hali ya juu.

Faida


CHELEZO

Kazi zako tutakazochapa, kuscan, kuprint au kutengeneza zitatuzwa kwa ajili yako na siku ukihitaji moja wapo usisite kutujulisha tukutumie.

PATA KAZI ULIPO

Tutumie kazi yako na pokea kazi yako popote pale ulipo. Hauhitaji tena kutembea na mabox mpaka unapoishi.

BEI NAFUU

Tunajua mahitaji ya wanafunzi, shule au chuo ni mengi. Pata bei nafuu zinazoendana na bajeti yako.

HUDUMA KWA WATEJA

Pata huduma ya hali ya juu kutoka kwetu kupitia njia tofauti kama Facebook, Instagram, Whatsapp au kupitia Live Chat ndani ya mda wa kazi. 

UBORA WA KAZI

Pata kazi zenye ubora wa kihali ya juu kutoka wa wataalamu waliobobea kwenye ufanisi tofauti. 

MARUDIO

Je tumekufanyia kazi na haujaipenda, omba marudio mara nyingi upendavyo mpaka utoshelezwe na kazi iliyofanyika. Tunakupromise hatutakasirika baada ya mara ya 100 :) 

RISITI KWA KAZI YAKO

Kama Raisi wetu Dr. John Pombe Magufuli alivyosema "Ukinunua Kitu Dai Risiti" Tutakupatia risiti kwa njia ya barua pepe ili kurahisisha utunzaji na pia kutunza mazingira.  

TAARIFA ZA KIBIASHARA

Je hapo mbeleni ungependa ujiajiri lakini haujui uanze wapi? Pata taarifa muhimu kupitia chaneli zetu kwenye mitandao ya kijamii na fanya maamuzi sahihi kabla ya kumaliza shule. 

HUDUMA YA HARAKA

USIHOFU, TUAMINI.

Je una kazi ya haraka sana na inahitajika mara moja iwezakanavyo? Tunaomba usipanic, tujulishe na tutakusaidia haraka iwezekanavyo.
Tafadhali wasiliana nasi ndani ya mda wa kazi ili tuweze kukusaidia kwa umahiri.


WASILIANA NASI LEO

MAFUNZO YA ZIADA

JIFUNZE KITU KIPYA

JE UNA SWALI?

WASILIANA NASI

Je una dukuduku lolote moyoni mwako? Tungependa tukujibu kabla haujaanza mausiano na sisi.

TIMU YA KIRIZA

KUTANA NA NYUSO UTAKAZOFANYA NAO KAZI

Pata kutujua kabla haujaanza kufanya kazi na kampuni yetu, na wasiliana nasi ndani ya mda wa kazi.

irwin.binamungu@outlook.com
Meneja wa Operesheni

Irwin Binamungu

Irwin ni mwandishi mwenye utaalamu wa I.T kutoka chuo cha Makerere University. Anashughulika na kupitia kazi, kuzichapa, kuscan na vinginevyo.
edward.chalamila@outlook.com
MSIMAZI WA TEKNOLOJIA

Edward Chalamila

Mr. Edward ni mtalaamu wa I.T anayependa kupiga picha na kutumia softwares kama Adobe Fireworks. Anashughulikia sana kazi za picha na video. 
bahati.johanes@outlook.com
RECORD KEEPING

Bahati Johanes

Miss Bahati ni mtalaamu wa kutunza kumbukumbu na amesomea fani hii. Siku ukihitaji kumbukumbu ya kazi zako, jua huyu ni mtu unayelinda kumbukumbu ya kazi zako. 
aida
Graphics Designer

Aida 

Aida ambaye ni msimazi wa AB Agency anashughulika na kazi zote za kutengeneza flyers, bahasha za barua, vipeperushi na vinginevyo. 

MFANO WA KAZI

Kati ya kazi tulizofanya miezi michache iliyopita.

TUFOLLOW KWENYE MITANDAO YA KIJAMII.

Tuendeleze mahusiano yetu kwenye mitandao ya kijamii pia, ambapo huwa tunapost taarifa muhimu.

maneno ya jumuiya

Maneno machache kutoka kwa watu ambao tumewai kufanya nao kazi.

Wasiliana na Sisi

Je una swali au ungependa kufanya ubia na Kiriza? Wasiliana nasi leo na pamoja tuweze kuwasaidia wanafunzi wetu ambao ni taifa la kesho.